Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

E-AFRICANS2 - Topics
Create Your Own App Store

* E-AFRICANS2 > Topics


Subject: Chongoa nichongoe...shout haa!
Replies: 646 Views: 41533
6-<< 2-< 1-> 7->>

alekii 15.07.09 - 05:22pm
Hahahahahaha leo sibongi!! *

alekii 23.07.09 - 04:02am
Ati lil.k una meno za brown mpaka ukikunywa maziwa unatema chai! *

rosez90 27.07.09 - 07:03pm
Eti kwenu muko wengi mpaka m2 yule an*lala poa an*lalia ngumi. *

alekii 27.07.09 - 07:13pm
ati una nywele ngumu hadi ukitaka kuchana unameza painkillerz kwanza *

faycal 27.07.09 - 07:30pm
Rosez we ni fala sana hadi ulienda kwa bar kubuy barsoap. *

alekii 28.07.09 - 02:47am
Haha rosez wewe ni fala mpaka uki mbao unapata hungovers *

faycal 28.07.09 - 09:01pm
Aleki m2 nguyas unajua nihow,jo Rosez ana kichwa big hadi akipanda ma3 then ashuke kichwa chake chashikwa na stretch markx. *

alekii 29.07.09 - 04:48pm
Hahaha faycal skia hii,ati wewe una mdomo bwaku hadi unafanyanga collabo solo *

faycal 29.07.09 - 05:26pm
Eh!Nomanoma.Aleki mshe wako amenona mpaka ye huvaa G -rope instead of G-string. *

alekii 29.07.09 - 08:57pm
Sawaz faycal ati nyanyako ni mzee mpaka government ilimnyang'anya ID *

moonta 30.07.09 - 01:14am
Alekii, eti 4n yako ni hi-tech mpaka ukdai kuswtch on inaomba securty cod 1st *

moonta 30.07.09 - 01:18am
Nyanyako ni mnoma, ana meno mbili but Colgate ikiongezwa bei, huingia stritz kudemo *

moonta 30.07.09 - 01:29am
Faycal'z Ombea adui rmx'naombea nyanya yangu, atoke meno yote, ili akipika nyama, asionje hata moja *

alekii 31.07.09 - 02:17am
Wewe moonta uko na mkono ngumu mpaka umeajiriwa kazi ya kusugua mbao kama sand paper *

faycal 1.08.09 - 05:07am
Moonta we ni mkonda mpaka ukifunga jicho moja mguu wako mmoja unainuka. *

alekii 2.08.09 - 04:21am
Moonta wewe ni mweusi mpaka ile siku mamako alikuzaa alikuwa ameshikwa na wasee wa k.w.s ati ameiba mnyama kwa mstuni coz ulikuwa unakaa kama nugu *

mogahmoa 9.08.09 - 02:26pm
Kwani mbona moonta pekee.Nyinyi wote mna mikono hard mpaka mkishika mouse ya comp, ina shw new hardware found *

faycal 9.08.09 - 06:04pm
We mogah we ni mwoga mpaka unadoze ka umeface bed. *

lollyswt 10.08.09 - 05:44pm
Wewe mogah fon yako ni biggy mpaka inakuanga weider/bouncer kwa club 20 ile ya zain *

mogahmoa 11.08.09 - 04:42pm
Wee kwenda lollswt kwenu huwa mna recycle tissue paper *

alekii 12.08.09 - 02:23am
Mogah una kichwa bwaku mpaka ukienda kinyozi unasemanganinyoe style zote *

mogahmoa 12.08.09 - 01:57pm
Wee alekii ati dame yako ni mslim mpaka mki strall evining makarao wanaku shw mbona una walk na silaha *

alekii 12.08.09 - 04:29pm
Mogah wewe ni pick pocketer mkali mpaka ukipewa note ya ngiri moja unarudisha kama kenyatta amehung mfuko *

birdboi 12.08.09 - 07:39pm
Aleki ati una mkono rough hadi uki dara dame wako anakushow wacha kuni kanyaga *

faycal 12.08.09 - 08:50pm
h jo hapa ni kundialalah.Kip it up guyz. *

alekii 13.08.09 - 04:43am
Birdboi budako huvaa high waist ingine iko juu mpaka akitaka kutoa wallet anatolea kwa shoulderz *

jcrazy1 13.08.09 - 01:56pm
...@kila mtu phone zenyu ni nzee...ukiigeuza inamwaga credo!....phone zenyu ni mambo tene...badala ya kuitisha security code inaitisha sucurity padlock! *

birdboi 13.08.09 - 06:51pm
Aleki una kichwa ndialala ukiingia swimming pool wa2 wana dhani migingo ingine ime ji form *

akiss 21.08.09 - 09:20am
We una mboro ndogo mpaka ukihave s*x dame anabaki virgin *

alekii 21.08.09 - 04:51pm
Birdboi wewe ni mnono mpaka ukidunga suti ya green msee anaweza fikiria ni ile kibanda ya simu ya jamii *

akiss 22.08.09 - 09:58am
ulizaliwa ukiwa umebit hadi incubator yako ikawekwa tinted ndio usishtue watoi wengine *

akiss 22.08.09 - 10:01am
Jo izia lakini ati we nimdark hadi ukitupiwa mawe inarudi kuitisha torch,lol niendele ama nisiendele? *

akiss 22.08.09 - 10:05am
Ya mwisho mzeiya ati jogoo zenu ni mabarbie mpaka zinasag mabawa n grandi wako nihomie u sag leso he!he! *

faycal 22.08.09 - 06:07pm
Akiss unakam runnin sana by disin m2 wa me bt naskia shosh wa u amechapa sana mpaka u kant knw whthr she's facing u or not.(laughing) *

alekii 22.08.09 - 06:38pm
Akiss ati wewe ni mzee mpaka ulikuwa unastay na shosho yako ata kabla mathako hajazaliwa *

pblank 22.08.09 - 07:01pm
@alekii.naskia ati wee ni mshamba hadi mara yako ya fao kuingia hotel badala ya kuitisha chapo unasema nipe ile kitu ya round imevaa nguo ya combat *

akiss 23.08.09 - 05:46pm
Ha!meamua sawa naskia ati nyi ni wadak mpaka id zenyu zimeandikwa apo juu scratch 2 reveal izieni jo *

alekii 24.08.09 - 05:09am
Ati nyanyako ni mzae mpaka gova ilimnyang'anya id *

alekii 30.08.09 - 12:03pm
Ati wewe ni mweusi mpaka huwezi toa bright idea! *

denis.m 31.08.09 - 01:26am
Eti kwenu mmesota adi nyi ukula ugali na stori ya nyama.ha!ha!ha!lolEst. *

alekii 31.08.09 - 02:49am
Hahahaha noma jo.ati wewe ni m-ugly mpaka ukiwa m-sick unapelekwa veternary badala ya hosi *

akiss 31.08.09 - 06:38pm
wee nimnono hadi ukiva belt ya yellow utadhani ni taxi au mat oh n hi d naskia umekonda hadi ukivaa vest unakunja sleeve *

alekii 31.08.09 - 07:24pm
Akiss uko na lips biggy mpaka uki sneeze una produce beat ya ngoma *

denis.m 1.09.09 - 11:01am
Alekii eti wewe ni sura mbaya adi mathako akikucheki ana wish she ad given ur dad a blo job.ha!ha!ha!lols *

akiss 1.09.09 - 08:19pm
Alekii wait 4 it.. we ni danda 1 tym yako kupanda lift ulifinya no 9 ndio ati ikufikishe isich ai jo niendele ama? *

manze 1.09.09 - 08:48pm
Ati wewe in mweusi mpaka mamako akitaka kukuona anaimba,ebu jitokeze,jionyeshe,simama mbele ya watu. *

denis.m 2.09.09 - 12:13am
Manze ths 4 u,eti una kichwa kubwa adi uwezi ingia box.lols *

alekii 2.09.09 - 04:03am
Deno wewe umeunga mpaka sperm yako haina nucleaus iko na bomb! *

alekii 2.09.09 - 04:05am
Akiss wewe ni mkooonda mpaka ukichora saba unaka kama goti *

alekii 2.09.09 - 04:07am
Manze ati nyinyi ni weeengi mpaka hao yenu iko na rounda na pia trafic lyts ndani *

6-<< 2-< 1-> 7->>


* Reply
* E-AFRICANS2 Forum


Search:
topics replies


* E-AFRICANS2

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store