Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

E-AFRICANS2 - Topics
Create Your Own App Store

* E-AFRICANS2 > Topics


Subject: Chongoa nichongoe...shout haa!
Replies: 646 Views: 41498
6-<< 2-< 1-> 7->>

mogahmoa 6.05.09 - 03:25pm
Aleki ati una ngotha ya steel ikienda lunch una toa na magnet *

faycal 9.05.09 - 05:01pm
Walala!Mogahmoa ur mum ni mstupid sana hadi akiambiwa apay attention anadai hana dau. *

faycal 9.05.09 - 05:12pm
Aleki unamouth big hadi we huweka chapo kwa mdomo ka disc jinsi inavyowekwa kwa Dvd. *

muokis 13.05.09 - 08:06pm
Kuku zenyu ni zii hadi huabort mayai *

mogahmoa 17.05.09 - 04:50pm
Faysal i hea tht ur dad was so danda such tht ali drop out @ suday school *

faycal 19.05.09 - 12:32pm
Oopes Mogah check dis out.Budako ni fan wa a*senali damu mpaka anaown gun. *

mogahmoa 20.05.09 - 03:00am
Wow umetry bt bado ati una dame ana head big suci tht whn u 2 go 4 swimo akiingia kwa maji its seen kama island *

alekii 23.05.09 - 02:38pm
MOGAH WE NI MZEE MPAKA UMEBAKISHA KUSHUTA UDEDI! *

oudkevvy 26.05.09 - 05:37am
alekii nyi ni masonko nyumba yenyu iko na room 100 na 99 ni choo! *

alekii 26.05.09 - 02:10pm
hao nyenyu ni kubwa mpaka huko nyuma ni ocha! *

alekii 28.05.09 - 03:43am
Mogah we ni mzee mpaka unajiangalianga kwa gazeti pale kwa funeral anouncement kama umededi. *

janxter 28.05.09 - 11:09pm
Mogah we unakichwa bwaku mpaka ukiingia lake victoria mtu anaweza dhani ni migingo! *

permy 28.05.09 - 11:47pm
Janxter your di*k is so big mpaka imeandikwa 'HATARI KWA WANAWAKE' *

mogahmoa 30.05.09 - 04:46pm
Aleki naskia uko na macho zingine red ati ukiingia kwa butchery nyama zote zinaiva *

mogahmoa 30.05.09 - 04:51pm
Jaxter naskia kapusi kenu nika danda mpaka kakidondo down kanapanguza kamasi *

alekii 2.06.09 - 07:12pm
Mogah wee una sura mbaya mpaka ukiingia kwa matatu conductor anasema ati 'weka hii mzigo kwa boot'. *

mogahmoa 3.06.09 - 04:06am
Alekii na skia tht u wa a danda hadi u went parallel nursary *

faycal 3.06.09 - 07:50pm
Niaje Alekii,naskia we ni mweusi sana mpaka ukitouch mtoi anatuna cz anadhani 9t imefika. *

alekii 3.06.09 - 11:51pm
Faycal wee una akili ndogo mpaka ukifikiria sana mind yako inasema 'insufficient memory' *

janxter 5.06.09 - 12:38am
Mogah una meno kubwa kama mahindi ya migingo! *

faycal 5.06.09 - 05:40pm
Umetry Alekii bt check dis out.Naskia we ni mugly sana mpaka ulipokua mtoi ukidinda kumanga matha anakushow umange au alete mirrow. *

alekii 6.06.09 - 11:19am
Faycal ati first tym yako kuingia kwa ndege ulisema 'dere nishukishie tao bs' *

faycal 6.06.09 - 08:58pm
Alekii unakumbuka ile day tulipanda ma3 na you then conkodi akakushow uweke mzigo kwa boot kumbe alikuwa anamean your big head. *

alekii 7.06.09 - 06:29am
Faycal first tym yako kupewa PK chewing gum ulimeza na maji ka dawa! *

mogahmoa 8.06.09 - 04:32pm
Alekii weh ni mshamba mara yako ya 1 kupewa soda ikifunguliwa ikafanya psss ulisena hutaki hiyo ati imenyamba *

alekii 15.06.09 - 05:07pm
Hahaha mogah una tumbo kubwa mpaka badala ya kutoa minyoo unatoa nyoka! *

faycal 17.06.09 - 10:01pm
Niaje Aleki,am back so jibambe na dis 1.Manzi yako ana pimples most mpaka akitake photo,4to inajiwrite join the dots. *

alekii 18.06.09 - 02:48am
Faycal ati nyanya yako ni mzee mpaka yeye ndio ali switch on d light wen god said *let there b light* *

faycal 19.06.09 - 08:12pm
Ehh,Aleki manzi yako amekonda mpaka instead ya kutumia sanitary towel ye hutumia elastoplast. *

alekii 19.06.09 - 10:37pm
Faycal hao yenyu ni kubwa mpaka iko na roundabout ndani! *

faycal 20.06.09 - 01:17pm
Hahaha,bt Aleki naskia we ni mjinga mpaka unadunda free tick. *

alekii 21.06.09 - 05:55am
Hehehe! Faycal ati manzi yako ni mrefu mpaka ukitaka kumbongesha unatumia phone! *

faycal 21.06.09 - 12:26pm
Oopes!Alekii radio yenyu ni mkweche sana hadi instead of playing UB40 inaplay UB18. *

alekii 21.06.09 - 04:59pm
Faycal t.v yenyu ni kubwa mpaka inaonysha mse wa news kama amesimama! *

alekii 23.06.09 - 05:07pm
Faycal wewe ni mweusi mpaka mathako akikuza alisema kwani kameungua! *

faycal 1.07.09 - 12:25pm
Alekii manzi yako amenona sana hadi hawezi kuingia box. *

alekii 11.07.09 - 07:32am
Faycal paka yenyu ni mzee mpaka imebakisha mwaka moja igeuke simba!crazy5.GIF *

faycal 12.07.09 - 12:45pm
Hahaha.So so funny bt Aleki ndai yenu ni mzee sana mpaka ikisimama kwa traffic msee anadhani accident imehapen. *

alekii 12.07.09 - 01:11pm
HaHaHaHa hyo ni kali.ati wewe ni mzee mpaka unasomanga gazeti kule kwa death and funerals ukonfam kama umededi, *

mogahmoa 12.07.09 - 03:46pm
Faysal umekonda such ukistnd bele ya she wa uas wasee wamshw nyc tie *

faycal 13.07.09 - 08:33pm
Mmmm!We Aleki manzi yako nimkonda mpaka ye hutumia sometymz instead ya alwayz. *

faycal 13.07.09 - 08:40pm
Mogah unamaskio bigie mpaka mse akikucheki 4rm far anadhani umeshika kisogo na mikono. *

alekii 14.07.09 - 03:21am
Haha faycal una lips biggie lips2.GIF mpaka uki whistle u ma jiko za mtaa! *

lil.k 14.07.09 - 09:17pm
Am new.ati nyinyi aleki mko advanced hadi mkieda ocha mnasave nguo zenyu kwa flashdisk.ati nyinyi mko mbele mpaka mnaenda toilet through bluetooth. *

lil.k 14.07.09 - 09:26pm
Faycal kwenyu ni wanati mpaka kuku zenyu ni za rastacolours.we uko msota hadi walls ya keja yako ni ya sembe sa magondi ucome na kukuambia fungua ama tulete mboga. *

lil.k 14.07.09 - 09:28pm
Am new.ati nyinyi aleki mko advanced hadi mkieda ocha mnasave nguo zenyu kwa flashdisk.ati nyinyi mko mbele mpaka mnaenda toilet through bluetooth. *

alekii 15.07.09 - 02:43am
Lil.k umekam na nare bt utasare!! Ati nyinyi ni wengi mpaka last born wenyu anaitwa tosha *

alekii 15.07.09 - 02:45am
Lil.k nyinyi ni masonko hadi doggy yenyu iko na doggy ingine kama body guard *

lil.k 15.07.09 - 07:18am
Alekii dem yako ni msoto hadi atumii always ye utumia sometimes oooops!! *

faycal 15.07.09 - 10:12am
Lil.k kuwa na speed gvnr msee cz shawtz wa urs ni mplump sana mpaka akifunga belt ya yellow unaweza think ni ma3. *

6-<< 2-< 1-> 7->>


* Reply
* E-AFRICANS2 Forum


Search:
topics replies


* E-AFRICANS2

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store