Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

E-AFRICANS2 - Topics
Create Your Own App Store

* E-AFRICANS2 > Topics


Subject: Chongoa nichongoe...shout haa!
Replies: 646 Views: 41494
6-<< 2-< 1-> 7->>

kagz 26.06.10 - 11:00pm
We una ngozi ngumuu mpaka mbu ziliamua kuprotest wakiwa na postaz zinaandikwa pamoja tuangamize ngumuu *

faycal 28.06.10 - 08:10am
@ladysaw una nywele mob kwa makwapa mpaka ukispread mkono unaka kama umeweka kuku
*

alekii 28.06.10 - 05:48pm
Kags una rasa biggi mpaka ukishuta una vibrate *

alekii 28.06.10 - 05:50pm
Kagz una mboo bwaku mpaka imeandikwa 'hatari kwa wanawake' *

alekii 28.06.10 - 05:51pm
Kagz t.v yenu ni ndogo mpaka ukitaka kuwatch news unafunga jicho moja *

filifulu 3.07.10 - 06:29pm
kagz ni mzee mpaka anajua penye Mzee Kenyatta alopoteza slippers zake za kwanza *

kagz 7.07.10 - 06:55pm
Fulu utaweza.kichwa yako ndogo mpaka vitu ka jicho,mdomo,pua,sikio hukam once pa blu mun.leo pua nxt year mdomo.haahaa! *

zassor 7.07.10 - 08:27pm
Alekii T.V yenu ni old xul ati ina scroll bar. *

filifulu 7.07.10 - 11:06pm
Hehe zassor hiyo kali...eeehe kagz wewe una sura mbaya mpaka we hutumiwngwa ku entertain shetani *

kagz 8.07.10 - 10:36am
FILI we ni mzee sana ati we ndio ulisoma eulogy ya Gzas day alizikwa.ummhu! *

filifulu 8.07.10 - 09:06pm
Kagz uko na kichwa biggy hadi when u think echoes zinasikika...hee, ati ukona kichwa big mpaka manzi wako huimba:I've got da whole world!! Eih kagz kichwa yako jameni, u know, when kagz dies his coffin will have the shape of a lolipop to accomodate the head...zimekutosha kagz?? *

ladysaw 9.07.10 - 07:16pm
zassor ati kwenyu nyinyi ni wafupi ati mna play rugby na ngugu *

alekii 9.07.10 - 07:35pm
Zassor naskia manzi yako ameenda gym sana mpaka anaweza blow vuvuzela na cat *

alekii 9.07.10 - 07:37pm
filful umeoza meno mpaka ukibonga wasee hukushow 'meza njugu' *

kagz 11.07.10 - 06:46pm
Ati Fili anamemory ndogo sana mpaka ilibidi awekwe memory card slot. *

zassor 12.07.10 - 08:45pm
Alekii pua yako ni kubwa ni kweli unajaza jug wen u sneeze. *

ladysaw 15.07.10 - 03:46pm
fay una mapua bigi hadi uki breath 2na baki na inert gasses *

ladysaw 15.07.10 - 03:49pm
kagz ati manzi yako amekonda naskia anaoshea mguu kwa thermos *

alekii 16.07.10 - 06:27pm
Zassor we mjinga mpaka una repeat kunyonya! *

ladysaw 16.07.10 - 06:43pm
Aleki we ni mnoma ukijam unakunjaa ngumi na vidole za mguu *

alekii 17.07.10 - 06:34pm
Ladysaw una rasa ndogo mpaka chali yako hu2mia thumb kukuspank *

ygamer 18.07.10 - 01:06pm
This z 2 much.. Wa2 wanabp adi kwa sms mazee... *

filifulu 18.07.10 - 04:23pm
Aleki una kichwa big hadi ukijaribu ku bend you overturn... *

kagz 18.07.10 - 04:35pm
ladysaw ati chali yako ni mlokole mpaka hutek a prayer b4 aku-snog. *

alekii 19.07.10 - 05:55pm
Filifulu una kichwa ndogo mpaka bibi yako anadai huwezi kuwa head of the family *

kagz 19.07.10 - 06:18pm
Ladysaw ni mjinga mpaka sh cn only spell k, g n 1 coz anajua alipitia kg1 only.mmh! haahaa! *

athuman 20.07.10 - 11:25am
Is it true that your family is so rich that wen u feel hungry u alert just like BATERY LOW! Phone. *

filifulu 24.07.10 - 10:42pm
Aleki yo grandma is 100yrs old na bado anasema 'when i grow up i'll be a doc!' Heh ati your grandma is blind but when she is discussing with someone unaskia akisema ' I see, I see' *

alekii 25.07.10 - 04:35am
Filfulu we ni mrui mpaka ulikataa kuzaliwa ukiwa uchi! *

alekii 25.07.10 - 04:36am
Filfulu umesota mpaka huwezi afford kupay attention *

filifulu 25.07.10 - 07:38pm
Alekii your lips are soo big that during your birth the doc mistakened your mouth for your b*tts! They thought your back was coming out first instead of your head *

faycal 25.07.10 - 09:42pm
ladysaw nyi ni masonko mpaka kuku zenu hukula kuku. *

ladysaw 26.07.10 - 03:48pm
fay we ni mchafu m2 akitaka kukunyima ki2 anaificha kwa sabuni *

alekii 26.07.10 - 04:35pm
Filfulu manzi yako ni mfupi mpaka hawezi chora 7,ye huchora 3.5 *

faycal 26.07.10 - 06:36pm
Lady cjui ka nimerudia bt we ni mkonda hadi we huvaa alwayz na suspenda *

filifulu 29.07.10 - 07:05pm
Alekii wewe wakati wa kuzaliwa badala ya kulia ulikuwa unacheka! *

alekii 30.07.10 - 02:45am
Filfulu we unakichwa kubwa na mwili ndogo mpaka mwili yako ndio huwa kwa pillow na kichwa kwa bed! *

kagz 4.08.10 - 06:07pm
Ale anajidai amesoma buks mob nilipomuuliza ni gani alisoma akataja phonebook na facebook *

filifulu 5.08.10 - 12:52pm
Hahaa alekii galfrend wako ako na pimples nyingi usoni yenye akipigwa passport picture inaweza kutumika kama sandpaper! *

alekii 5.08.10 - 04:50pm
Kagz we ni gangster mpaka una madent kwa heart *

alekii 5.08.10 - 04:52pm
Filfulu simu yako ni ndogo mpaka ukiweka credo ya soo inakuwa mzito *

filifulu 5.08.10 - 09:02pm
Alekii wewe umezoea kuweka credit ya 10bob kwa simu mpaka ukiweka ya 100 it logs automatically to m-pesa menu! *

alekii 6.08.10 - 04:44am
filfulu gari yenu ni mzee mpaka ikipiga kona mnashuka kwanza mpange viti *

kagz 6.08.10 - 09:20am
Ale ni mnoma day alizaliwa alisema,mathee nitafanya mwenyewe shoping ya baby shawls,powder,babysop na zile nyingine. *

filifulu 6.08.10 - 08:57pm
Alekii wewe simu yako inatumia coins instead of scratchcard *

faycal 7.08.10 - 04:40am
@alekii do u kinda nid backup *

alekii 9.08.10 - 04:50am
kagz we ni mchoyo mpaka line yako ya YU umeichange 2 ME *

alekii 9.08.10 - 04:53am
filfulu kweni ni kudry mpaka huwezi ota wetdreams. *

alekii 9.08.10 - 04:55am
faycal...2wapeleke bro...anywei ati mimi ni mnooo0ma mpaka nikiambia dem u anaget ball *

faycal 9.08.10 - 09:21am
filifulu we ni mchoyo hadi ukimanga nyama na sembe then upuke,unapuke sembe only *

6-<< 2-< 1-> 7->>


* Reply
* E-AFRICANS2 Forum


Search:
topics replies


* E-AFRICANS2

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store