Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

E-AFRICANS2 - Topics
Create Your Own App Store

* E-AFRICANS2 > Topics


Subject: I remember
Replies: 16 Views: 803

akiss 23.04.10 - 02:07pm
Saseni bana nmewahata...nyw hu remembaz dem day wen kati,kalongolongo zlikua zkirock mtaani.those wa tha dayz...au sio so tel us u best n worst remembaz- *

alekii 23.04.10 - 04:19pm
Mi i rememba dufo mpararo! It was wow! In da riverz! *

akiss 23.04.10 - 07:42pm
Haha bana jo ata nyi mlikua na izo stuf manze c zlikua zinadai *

alekii 24.04.10 - 04:15am
Wah! Hizo zlikuwa lazima afta ma lunch,then nakumbuka bano jo,c mi nlikuwa superstar! *

akiss 24.04.10 - 05:15pm
N banya jo c 2likua lembe *

nec.tar 26.04.10 - 05:36am
@ alek..dufo mpararo falls ama odima..twaz brrr..ball ya mapaper je..n kuchuna thamba..mandole(kupigana na matope)..2 b sure kalongo waz my best..used 2 b daddy *

kelysonn 26.04.10 - 09:10am
Hop u warent duin wot daddiez do huh?wewe! *

alekii 26.04.10 - 12:16pm
@nectar si tulikuwa 2naenda odima falls ilikuwa ya ma big fish jo.,ball ya mapaper nmeplay pia..alafu kalongo mi nlikuwa mtoi! Nkt! *

akiss 26.04.10 - 09:25pm
Bana kalongo nlikua mam c ilkua gwan *

akiss 26.04.10 - 09:26pm
Then nani alkua natabia za ugondi wa kwa kuiba mapera niachie na kuring mabel za wathi tena tunahepa *

akiss 26.04.10 - 09:28pm
Kina zas mmetuliz sana mko toeni maoni *

nec.tar 27.04.10 - 01:29am
@ alekii..rimemba kudandia kbs..unashuka na unapanda anytym u wantd..plus thamba za santon..mi nilikuwa napenda kujionea nairobi riva..@ akiss kalongo inakaa ilikusuit..wea u a gud mum..nikiwa mtoi nilikua napenda kati plus hullahop(kuzungusha a ring by da waist)..ulikua poa akiss *

nec.tar 27.04.10 - 01:31am
I bet no1 wud dare da play thos old dayz game..alekii unaweza kweli..akiss unaweza? *

akiss 27.04.10 - 07:29am
Hulahop wa siilkua inadai n ya i waz a gd mom bt ne ctar i dn think people cn play kalongolongo rit nw c unaja game gani ingekua ikiendelea *

nec.tar 27.04.10 - 05:54pm
Enyewe nah linga ingekuwa inatembea..i meant can u play kati skip ama hulahop ama esther ukapata watoi wakiplay..mi nikipata watoi wakiplay bal ya mapepa i usualy play kamba mi huruka samtymz wit wit yanga siz n bro can u *

akiss 27.04.10 - 06:10pm
Du i kant do that stuf again *

alekii 27.04.10 - 06:31pm
Haha nectar mi hzo gem siwezi zitaka tena...huski si 2likuwa 2naishia kusanya mapera na maembe mbichi nyuma ya kasa stadium...n akiss pia mi h'zo stuff za kuring mabell nilikuwa mofaya *


* Reply
* E-AFRICANS2 Forum


Search:
topics replies


* E-AFRICANS2

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store