Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

E-AFRICANS2 - Topics
Create Your Own App Store

* E-AFRICANS2 > Topics


Subject: Chongoa nichongoe...shout haa!
Replies: 646 Views: 41473
6-<< 2-< 1-> 7->>

birdboi 27.02.09 - 04:41pm
ati una maskio kubwa ukigeuka jiko za mtaa zote zina waka once *

alekii 27.02.09 - 04:41pm
Birdboi una kichwa kubwa mpaka ukiwa mbali unaka kama mtu amebeba gunia ya viazi. *

birdboi 27.02.09 - 04:44pm
alekii ati wewe ni mrefu mpaka una wa uzia watu wa ndege njugu *

alekii 27.02.09 - 04:49pm
Birdboi nyinyi m-mesota mpaka mnafanyanga harambee ndio mnunue kiberiti. *

birdboi 27.02.09 - 05:01pm
ati nyinyi ni wengi kwenu budako akicome home anasema habari wanainchi *

plodan2 28.02.09 - 09:12am
Naskia dame yako ni mweusi mpaka aukojoa blak current *

plodan2 28.02.09 - 09:15am
Nyinyi mko wengi mpaka last born huitwa unfinished *

plodan2 28.02.09 - 09:18am
Wewe ni mslim hadi ukishuta unashikwa na heart attack *

alekii 28.02.09 - 09:25am
Plodan hauna miguu lakini bei ya viatu ikipanda unateta. *

plodan2 28.02.09 - 09:30am
Wa! Kwanza naskia dame yako ni msupa mapua jo!! *

plodan2 28.02.09 - 09:43am
Aleki dame yako ni mzee mpaka amebeba maskio zake kwa gunia *

alekii 28.02.09 - 01:06pm
Manzi yako akona ngozi imejikunja kama maganda ya ndimu. *

kaptrina 5.03.09 - 02:17pm
Ati kwenu mko wengi hadi ni lazima utoke nje kuchange mynd yako *

kaptrina 5.03.09 - 02:24pm
Alekii unatry kunitoanisha??unatoa kwenya...wewe ni mkonda hadi unamunju manzi wako na straw *

alekii 6.03.09 - 12:38am
Kaptrina wewe ni mrefu mpaka unacheki kesho! *

alekii 6.03.09 - 12:40am
Ati unakichwa kubwa mpaka ukidunda down kunakuwa na earthquake! *

kaptrina 7.03.09 - 02:37pm
Alekii ati nyanya wako ni homi hadi anasag bra *

riqo 9.03.09 - 07:34am
Ati nyi wote mna vichwa kubwa mmetengenezewa hedex size ya yai ya ostrich *

nazizi 10.03.09 - 08:30pm
Mko wengi kwenu hadi ukipatana na mbuyu wako tao anakusho 'u look familiar' *

nazizi 10.03.09 - 08:31pm
Una mdomo biggy,wee hukula avocado ka njugu *

nazizi 10.03.09 - 08:38pm
Alekii una kichwa biggy hadi ukiangalia juu kisogo inaingia kwa bak pocket! *

alekii 13.03.09 - 12:07pm
Nyinyi wote hamna meno lakini colgate ikipanda bei mnateta! *

ediie.1 14.03.09 - 04:45pm
Ur matha is so ugly tht when wasp stings her it shuts its eyes. *

alekii 15.03.09 - 01:56pm
Edie we ni mchafu mpaka umbu ikikunyonya inabrush meno! *

pesh2080 6.04.09 - 09:20pm
ati una kichwa kubwa hadi ukiingia kwa ndai unashowiwa kichwa mbao mwili ni sare *

pesh2080 6.04.09 - 09:25pm
edie,we ni mugly mpaka birth certificate 4rm condom factory *

pesh2080 6.04.09 - 09:29pm
Ah !Edie we ni mugly hadi birth certificate yako ni apology leta 4rm da condom factory *

pesh2080 7.04.09 - 05:49am
ah Eddie blunder kiasi bt we mugly hadi birth certificate yako ni apology letter 4rm da condom factory... *

alekii 8.04.09 - 10:02am
Ha ha ha pesh una hagga biggy mpaka ukiingia kwa bafu zinameza sabuni! *

alekii 8.04.09 - 10:05am
Pesh kwenu nyinyi ni mafala mpaka ikifika usiku mnatoanga gate mnaiseti kwa hao eti isisanywe! *

pesh2080 8.04.09 - 08:36pm
Alekii we ni mrefu hadi ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ka imeganda... *

ediie.1 9.04.09 - 04:43am
Pesh nyinyi ni wadosi mpaka gate ya kwenyu mna ifunga na peg- *

alekii 9.04.09 - 12:32pm
Ediie paka yenu ni janja mpaka iki hunt ka rat inasema ati ikarangwe! *

pesh2080 10.04.09 - 08:30pm
eddie hao yenu ni ya round na bado unadai kulala kwa corner... *

alekii 13.04.09 - 01:23pm
Pesh we ni mrefu mpaka unacheki kesho! *

pesh2080 14.04.09 - 08:18am
Alekii T.V we ni mweusi hadi ukapigwa foto,inaandikwa:pliz scratch 2 reveal... *

zohank 15.04.09 - 01:36pm
ati una simu kubwa mpaka ukiitoa ndani ya mat3 watu wanakuuiliza ni laptop make gani
*

zohank 15.04.09 - 01:40pm
nyanyako ana weigh 2kg lakini an*lazima ajoin army *

alekii 18.04.09 - 05:55pm
ATi kwenyu nyi ni wengi mpaka lastbon wenyu anaitwa tosha! *

jamaling 19.04.09 - 01:53am
Ati manzi yako ni mfupi mpaka akimeza njugu anapata ball! *

alekii 25.04.09 - 01:59am
Ati pesh nyinyi mmesota mpaka mnanunuanga kiberiti na hire purchase! *

alekii 25.04.09 - 02:12am
Ati 1st tym yako kucheki mbuzi ikikunia ulisema ni lorry ya ballgum *

alekii 25.04.09 - 02:15am
Pesh ati hao yenyu ni kubwa mpaka ukitaka kwenda kitchen unatumia google map! *

alekii 25.04.09 - 02:18am
Pesh ngotha yako ina mashimo 99 imebakisha kutoboka moja idunde. *

alekii 25.04.09 - 02:21am
Jamaling una miaka 99 umebakisha mwaka moja matako ijifunge. *

faycal 27.04.09 - 10:05am
Ati wewe ni fala sana hadi ulipelekwa sunday skul boarding. *

alekii 27.04.09 - 12:50pm
Faycal una mdomo kama kiatu ya mwizi....umekonda mpaka ukishuta unapata heart attack! *

gustacio 27.04.09 - 05:21pm
Ati wewe ni mwoga hadi ukilala unakunja ngumi *

faycal 3.05.09 - 09:17pm
Aleki naskia ati we ni mnati mpaka ukiswitch 4n yako ya Nokia on,badala ya handz kushake zinagotana. *

mogahmoa 6.05.09 - 03:21pm
Faycal ati wee umekonda mpaka ukipigwa picha picha inatokea kama x- ray *

6-<< 2-< 1-> 7->>


* Reply
* E-AFRICANS2 Forum


Search:
topics replies


* E-AFRICANS2

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store