Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

E-AFRICANS2 - Topics
Create Your Own App Store

* E-AFRICANS2 > Topics


Subject: Chongoa nichongoe...shout haa!
Replies: 646 Views: 41470
6-<< 2-< 1-> 7->>

ladysaw 9.08.10 - 02:04pm
fay naskia we ni mlafi hadi unaonja maji ya sembe *

ladysaw 9.08.10 - 02:06pm
aleki ati kuku zenyu ni fala zinakula nyasi ndio zitage mayai herbal *

ladysaw 9.08.10 - 02:09pm
filifulu nyanyako ni mzee hadi anapigwa shock na moshi ya ugali *

ladysaw 9.08.10 - 02:12pm
fay we ni fala ukiambiwa uandike 22 unauliza uanze na 2 gani *

ladysaw 9.08.10 - 03:20pm
aleki we ni mfupi hadi hauezi enda lng call *

alekii 10.08.10 - 05:14am
ladysaw we ni mchoyo mpaka unakulanga chapo kwa smoking zone *

alekii 10.08.10 - 05:15am
ladysaw una mapua biggy mpaka ukibreath inalia kama vuvuzela *

jaded 14.08.10 - 05:39pm
Computer yenu ni oldskul hadi antivirus yake hutumia mawe kudestroy virus! *

kagz 17.08.10 - 11:36am
Dea iz a day filfulu ali-buy karpasky antvirus,nilimuuliza atadu nini nayo na hana komp akasem atakula HIV isimpate. *

ladysaw 17.08.10 - 02:07pm
Alekii una lips bigi instead ya kujipaka lip balm unajipaka roll on *

alekii 17.08.10 - 07:00pm
hehe si2miangi lip balm...anyway ladysaw una matiti moja badala ya kuvaa bra unavaanga mavin... *

kagz 18.08.10 - 08:51am
Wewee ale unasema ladysaw anamatiti ngapi?we humchunguliaga kwa intanet.wacha jicho pevu wewee. *

jaskerby 18.08.10 - 09:37am
ei,nimewasvulia kofia. victory.GIF nani ako ready kunichongoa. *

alekii 18.08.10 - 12:15pm
kagz mwambie ladysaw ajibu swali lako....jast twende 1 on 1 *

jaskerby 18.08.10 - 12:24pm
alekii naskia umenona sana mpaka ukinyamba inanuka mafuta mafuta. *

alekii 18.08.10 - 04:53pm
Jask wewe ni mzee mpaka ilesiku ulizaliwa jogoo ya KANU ilikuwa kifaranga.. *

jaskerby 18.08.10 - 10:00pm
alekii umeparara mpaka ukijipaka mafuta,mafuta inawika.....haki yetu!....haki yetu! *

alekii 19.08.10 - 04:42am
jast hao yenu ni ndogo mpaka ukitaka cha mvunguni lazima utoke nje. *

jaskerby 19.08.10 - 05:51am
alekii naskiaga ati ukweli we hunyambanga tu sana,mpaka mizizi inatokezea kwa mgongo. *

alekii 19.08.10 - 12:44pm
Jask manzi yako ana lips biggy mpaka hawezi sema cat,ye husema pppsss *

ladysaw 19.08.10 - 08:06pm
Aleki unasura mbaya vile ulizaliwa budako alisema'wat a waste ov sperms' *

alekii 19.08.10 - 09:20pm
ladysaw we ni mweusi mpaka ileday doki alikucheki alisema amepata cure ya ma-albino *

jaskerby 20.08.10 - 04:58am
alekii kwenu mko wengi mpaka hata watu wa census hawajamadana na nyinyi,hata wengine wamekufia kazini. *

alekii 20.08.10 - 01:25pm
jask una mguu ngumu mpaka kiatu yako huanza kuisha side ya ndani *

jaskerby 20.08.10 - 02:33pm
manzi yako ana marasa big akinyambia nai mpaka kisumu ndio inuke. *

alekii 21.08.10 - 05:07am
jask unatoa za ovyo!!..nwei nyinyi ni mafala mpaka 1st tym yenu kubuy radio mliskia ngoma noma budako akadai mzime radio mtaskiza iyo ngoma siku ya xmas *

jaskerby 21.08.10 - 07:10pm
ai,hiyo c noma saaana....nway,naskia uko na kichwa small sana mpaka ukianza kuota wanakwambia not enough memory! *

alekii 22.08.10 - 01:31pm
jask we ni m-hairly mpaka mwili yako yote ni private part *

jaskerby 22.08.10 - 06:52pm
alekii anangozi ngumu mpaka akiwatch comedy anacheka kama kiraitu *

alekii 22.08.10 - 07:12pm
jask wacha za budangu..nichongoe mimi alekii...ati kwenyu ni insecure mpaka wezi hutembea wawili wawili *

faycal 22.08.10 - 09:56pm
ladysaw kwenu ni kudry hadi nyi hutake 4to kama mmeshika tap :-) *

faycal 22.08.10 - 09:59pm
ladysaw chali yako ni toothless hadi hawezi kula vako *

ladysaw 23.08.10 - 12:43pm
fay 4ne yako ni noma uki turn on inareturn tha favour *

jaskerby 23.08.10 - 02:49pm
sawa aleki!naskia vile ulipata birth certificate ulitaka kuapply for a degree in birth. *

kagz 23.08.10 - 05:45pm
Ale,jasker alikutel ambition yake?mi alinitel kua anawak very hard ili awe jamaa la kuwekelea makuni sinaz in hell. *

jaskerby 23.08.10 - 06:26pm
hehe,kagz naona umejoin 4ces na ndio naskia hao yenu ni small sana hata ukigonga na ukuta unakaribishwa. *

filifulu 23.08.10 - 09:26pm
In all the lifetime of ladysaw she'll only have two certificates; that is Birth certificate and certificate of death! *

alekii 24.08.10 - 03:53am
jask we ni mkonde mpaka ukiingia nursery klas watoi wanasema one! *

jaskerby 24.08.10 - 08:38am
alekii we ni mkonde na mweusi sana mpaka kidogo usanywe na kanjo kama vijiti chafu. *

alekii 24.08.10 - 05:09pm
jask manzi yako ni mnono mpaka akikalia novel inakuwa short stories *

faycal 25.08.10 - 06:59am
ati ladysaw una mkono ngumu mpaka ukishika mouse inaxema 'new hardware detected' *

ladysaw 25.08.10 - 08:58am
fay umerun out ov mchongoano?nwei ati paka yenyu imeokoka ikiona panya ina sema enda 2 nimeku4give *

ladysaw 25.08.10 - 09:07am
fay umenona ukianguka wa2 wanakimbilia mafuta *

faycal 25.08.10 - 09:09am
neva and neva wil tha king run outta mchongoanoz.i av atleast 500 mchongoanoz jst 4 u.ladysaw we ni mweusi hadi white blood cells zako ni visible. *

faycal 25.08.10 - 09:11am
hahaha umeanza kupiga mchongoano zangu remixx. *

ladysaw 25.08.10 - 01:02pm
fay 4ne yako ni mzee mpaka wall yako ya fb imecrak *

jaskerby 25.08.10 - 04:12pm
alekii tv yenu ni old sana bado inaonesha post election violence.hata bado hamja vote. *

faycal 25.08.10 - 04:58pm
ladysaw una brain ndogo hadi una mem card slot nyuma ya maskio *

alekii 25.08.10 - 06:22pm
jask we ni mnono mpaka ukismama tao kanjo hukudai pesa za parking *

jaskerby 26.08.10 - 09:21pm
at the 600th post! victory.GIF I Still Stand Tall!Alekii huwa cgive up.mko na gari rusty sana mkipeleka kwa scr*p metal store mnaambiwa tumefunga kujeni kesho. *

6-<< 2-< 1-> 7->>


* Reply
* E-AFRICANS2 Forum


Search:
topics replies


* E-AFRICANS2

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store